Saturday, April 18, 2009

SMILE FACES

U know ukiwa na furaha katika maisha basi na siku za kuishi nazo zinaongezeka kama hujui!!!! Bandina George moja ya wafanyakazi wa Radio Huruma Fm lakini yeye yupo idara ya Afya mmmmhh hapa nakumbuka tumbo lilikuwa linaniuma so came to ask me naendeleaje!!!! i was okay thats why smile ikatawala!

No comments: