Saturday, April 11, 2009

KUAPISHWA KWA WAKUU WA WILAYA MORO

Mkuu wa mkoa wa Morogoro meja jeneral mstaafu, Saidi Kalembo, akimwapisha kuwa mkuu wa wilaya mteule wa Mvomero, Fatuma Mwasha, kiapo cha utii na utumishi mwema wakati wa hafla hiyo iliyofanyika ukumbi wa ofisi ya mkuu huo.

No comments: