Thursday, April 9, 2009

FAHARI YA TANZANIA

Twiga wa mbuga ya taifa mikumi...kati wanyawa ambao huwa wananifurahisha nikiwa nadrive then hawa wawe wanavuka Barabara mhhhh usiniulize kwa nini coz hayo mapozi yao au hiyo mikogo hawa pamoja na swala acha tu kwa wewe dereva ukipita barabara ya kulekea mikoa ya nyanda za juu kusini mbugani Mikumi i think hutakwua mgeni na hiki nilichosema hapa...

No comments: