Mhashamu Askofu Dr Anton Banzi wa Jimbo katoliki la Tanga akisoma maombi kwa ajiri ya nchi yetu siku ambayo wakristo wa CCT na TEC walipoungana pamoja na kufanya maombi hayo katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga kushoto kwake ni Padri Martini Maganga wakili wa Askofu na kulia kwake Padri Joseph Shetui wakisaidiana na Askofu katika kuongoza maombi hayo ya pamoja siku ya jumatatu.
No comments:
Post a Comment