Monday, April 20, 2009

DECI UTATA BADO KWA WANACHAMA WAKE


Hivi ndiyo mambo yalivyokuwa kutokana na ishu za DECI wanachama wake Tawi la Morogoro wakiwa nje ili kufahamu hasa nini hatima ya utata huo mhhh isije kula kwaoo hawa!!!!Panda na mbegu na kuvuna mhhh hii philosophy nayo.

No comments: