Saturday, April 18, 2009

PRODUCERS:HURUMA RECORDING STUDIO

kama umebahatika kusikia ile ngoma ''ablino Tunauawa" chini ya Huruma Recording Studio iliyopo jijini Tanga basi washikaji ndiyo hawa wapigaji wa kazi ile Endrew mwenye shati la mistari katika Imma mwenye kapelo mtaalam wa kutengeneza Beat na Peter Mtulia mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Huruma,hapa ilikuwa usiku wa Pasaka

No comments: