Wasanii wa Muziki wa Injili kutoka Morogoro na Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na watangazaji wa Radio Huruma mara baada ya Tamasha la Pasaka lililoambatana na Utambulisho wa Album "WOKOVU NI MAPAMBANO"yake Ester Gasper aliyevaa nguo nyeuse tuuuupu!!!!!its was so good pale katika Ukumbi wa Majestic Cinema!
No comments:
Post a Comment