Chunga Lunza mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Kiislam kilichopo mkoani Morogoro mshikaji anachukua BA yake ya Mass Communication pale mji kasoro Bahari,hapa akiwa katika studio za Radio Huruma Fm katika kipindi fulani hivi!!!!!!!during his feild attachment last year mshikaji mszuri kuwa mtangazaji ana sauti nzuri ya utangazaji so big five to u kula book sanaaaaaa
No comments:
Post a Comment