Kikundi cha uhamasishaji juu ya ukatili na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi Albino "Albino Revolution Cultural Troup" maskani yao ni kule jijini Dar es Salaam but recently walikuwa katika tour kule nchini Kenya Mombasa sio vipi tunawalinda siku zote na kuwapenda daima picha hii walikuwa Tanga katika viwanja vya Tangamano
No comments:
Post a Comment