Saturday, April 11, 2009

MICHE YA MINAZI

Mfanyabiashara katika soko kuu la mkoa wa Morogoro Habibu Kinyali, akipanga miche ya minazi katika soko hilo mara baada ya kununua kutoka tarafa ya Matombo mkoa humo kwa sh 1000 kisha kuuza kwa wateja wake kwa bei ya reja reja ya sh 1500.

No comments: