Thursday, April 9, 2009

Kwa wewe unayekula Nyama watch this

Walaji wa nyama jamani kuweni makini msije mkalishwa mizoga sasa ohhh!!!!hii mkoani Morogoro Dr Carle Lyimo akiwaka yaani kumsema mmoja wa wauzaji wa Nyama mkoani humo kama unavyojionea mwenyewe hiyo sio meet ni mzoga maana du!!hatari kweli kweli!!take care wewe unayependa nyama utajuuuuuuta!

No comments: