Saturday, April 11, 2009

KIAPO CHA UKUU WA WILAYA

hAPA Mkuu wa mkoa wa Morogoro meja jeneral mstaafu, Saidi Kalembo, akimwangalia mkuu wa wilaya ya Mvomero, Fatuma Mwasha, wakati akitia saini viapo viapo muda mfupi kabla ya kukabidhiwa vitendea kazi wakati wa hafla hiyo.

No comments: