Mtoto Laila Ramadhani mkazi wa Mafisa kwa Mambi katika Manispaaa yaMorogoro akiendesha baiskeli huku akiwa amewapakiza watoto wenzake!!!!Mhhh usafiri huu ni hatari wadau wanauita usafiri wa mishikaki,mhhh over loaded hasa waendesha pikipiki wanajua ni maana ya mishikaki.
No comments:
Post a Comment