Hapa ni kanisani Fr Kimbwi anagong'oli kinanda
Ilikuwa ni kutafuta pozi tu then pwaaa!!!!!
Ni furaha isiyo kifani Sio Harusi hapa bali wamepata Komunio ya kwanza aka Ekaristi ya kwanza kama hujui...
Picha kwa Hisani ya ofisi ya Jimbo Tanga- Idara ya Mawasiliano
No comments:
Post a Comment