Saturday, September 12, 2009

HURUMA VIDEO PRODUCTION

Hey!!go started to sing here Tangu iliposikika............
Sio anapima ramani ya Barabara No!anapiga picha za video hapa Azalia
Azalia Lucas Mwimbe.


Fr Richard Kimbwi mbali ya mambo ya kuchunga wanakondoo wa
Bwana hapa anaonekana naye yupo kazini katika upigaji wa picha

Upigaji wa picha za video katika wimbo wa "Albino Tunauawa"Hapa ilikuwa katika kutafuta Location maeneo ambayo ni karibu na Mapango ya Amboni au AMBONI CAVES!hii ndiyo ya Huruma Production hapa nilikuwa nadirect hii Video..soon itakuwa hewani katika vituo mbalimbali vya Tv nchini na nje ya Nchi...

No comments: