Monday, September 7, 2009

MH CHINI YA ULINZI WA POLISI

Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Sameer Lotto akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi akielekea katika ofisi za Upelelezi kuhojiwa wilaya mkoani hapa baada ya kutuhumiwa kumpiga mfanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Morogoro (MOROWASA), Michael Mapunda (HAYUPO PICHANI) wakati mfanyakazi huyo alipokwenda kukata huduma ya maji.Mhhhh hii inakuwaje mheshimiwa tena naye kutenda hili???why????Hya lakini iwe fundisho hata kwa wazee wengine wa kule mjengoni....

Picha na mdau wa blog hii Juma Mtanda kule mji kasoro Bahari Morogoro.

No comments: