Wednesday, September 30, 2009

MAMBO YA MSAADA WA GARI



Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Delo Itt, Joe Eshun akikata utepe muda mfupi kabla ya kulikabidhi gari mpya aina ya Land Cruiser lanye namba ya usajili DFP 5840 kwa uongozi wa Hospitali ya mkoa wa Morogoro ambalo ni msaada kwa ajili ya matumizi ya kwa kitengo kinachoshughuli maswala ya ugonjwa wa Ukimwa lenye thamani ya sh mil 47,000 katika hafla iliyofanyika kwa ofisi ya mkuu wa mkoa.
Picha ya juu makabidhiano ya funguo za gari lenyewe,halahala sasa tusije kukuta gari linapiga dili au usiku kulikuta Bar...lifanye kazi iliyokusudiwa.
Picha na mdau wa blog hii Juma Mtanda aka shemeji.

No comments: