Monday, September 21, 2009

KARIBU ZANZIBAR


Hiki kiwanja fulani by then watumwa walikuwa wakiteswa na kusubiri kusafirishwa angalia vizuri picha juu...




Hii mitaa fulani mkoa wa mjini magharibi huku wenzetu wao wana chai Maharage yaani badala ya sisi huku bara kusema Daladala,vifodi nk.....wao husema huvyo!!!Habari ndiyo hiyooooooooo!!!








No comments: