Friday, September 4, 2009

MJI KASORO BAHARI - MOROGORO

Mitaa ya Mazimbu nje kidogo ya mji wa Morogoro hapa ishu ni "UHABA WA MAJI"kama unavyoona foleni za ndoo.......mhhh hii mpaka lini wakati mkoa una vyanzo vya vizuri kabisa Mamlaka ya maji changamoto kwenu MORUWASA Mpoooooo!!!!!
Tende Halua Halua!!!!katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani ni dili hasa coz ndugu zetu huzipenda wakati wa kufuturu!!!hapa huyu binti anasubiri wateja
Picha na Juma Mtanda - Morogoro.

No comments: