Friday, July 24, 2009

HUJAFA HUJAUMBIKA.


Binti Sala Abdalah mkazi wa Mtawala mkoani Morogoro anahitaji msaada wa kukatwa miguu yake yote miwili kutokana na tatizo la miguu linalomkabili kwa muda sasa na huduma za kitabibu kushindikana zaidi ya kukatwa miguuu yote...tumsaidie jamani binti huyu.
Picha kwa hisani ya Juma Mtanda kutoka mkoani Morogoro


No comments: