Monday, December 6, 2010

lets pray now!!!

Father, in the Name of Jesus, bless me even while I'm reading this prayer and bless the one that sent this to me in a special way. Open doors in our lives today, Save and set free! Give us a double portion of your Spirit as we take back everything that the devil has stolen:****Emotional Health****Physical Health****Finances****Relationships****Children**** Jobs****Homes****Marriages
I cancel every plot, plan and scheme the enemy has devised against us in the NAME OF JESUS.
And I declare:
NO WEAPON FORMED AGAINST US WILL PROSPER.
I speak LIFE into every dead situation. And, I thank You that nothing is over until YOU say it's over! Speak prophetically into our lives and to our situations:****our households are blessed; **** our health is blessed;**** our marriages are blessed;**** our finances are blessed;**** our relationships are blessed;**** our businesses are blessed;**** our jobs are blessed;**** our children are blessed;**** our grandchildren are blessed;**** our parents are blessed;**** our siblings are blessed;**** our ministries are blessed;**** our decisions are blessed;**** our friends are blessed.**** Mortgages are paid and debts canceled; our hearts' desires are on the way;
According to YOUR perfect will and plan for our lives.YOU SAID YOU'D NEVER FORSAKE US! IN JESUS' NAME!
AMEN!
Say this prayer,and share with friends plz every time and every where.

Be blessed.

Friday, September 3, 2010

SOMA HII PLZ!!!

Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na awashirikishe ndugu, jamaa na marafiki zake popote pale walipo..Dr Slaa yes we can! Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo.

Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo.

Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka mahakamani.

Ni Dr. Slaa aliyesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuzielekeza zaidi kwa watanzania maskini.

Ni Dr Slaa aliyesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa amekuwa mtanzania baada ya Nyerere kutoa hoja za nguvu zinazomlenga kumkomboa mtanzania maskini.

Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Ajira milioni moja ziko wapi? Hebu mwenye mbavu za kujibu swali hili ajibu bila unafiki!

Ni Dr Slaa anayeweza kudhibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma.

Ni Dr Slaa anayeweza kuwapa elimu ya bure watoto wetu pale mlimani. Achana na longolongo za CCM kuwatoza ushuru watoto.

Waulizeni majukwaani wao Nyerere aliwatoza ada? Kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini? Ni Dr. Slaa anayeongelea treni ya umeme kwenda Kigoma, Dodoma, Tabora, na Mwanza.

Waulize mpango wao ccm kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa ambayo mababu zetu walitumia wakati wa ukoloni. Sasa wahindi wanabaki kutudanganya na bajaji wakati vyuma chakavu vya reli sasa vinatumika kujenga vyoo.
Hawa hawatutakii mema.

Hawana tofauti na akina Carl Peters.Ni Dr Slaa anayeongelea mfumko wa bei -nani hajajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. Uchumi unadidimia kwa kasi. Ahadi nyingine za uongo lukuki zinatolewa tena, wakati zile tulizoahidiwa mwaka 2005, hata moja haijatekelezwa.

Watanzania walio wengi na hasa wa vijijini, wamelala usingizi. Wanafumbuliwa macho, lakini wamesinzia bado! Wanatabasamu, wanachekelea na kuridhika na vitisheti vya kijani na vikofia za njano.

Wamekwishazoea shida kiasi kwamba wanadhani ni sehemu ya maisha yao. Ee mwenyezi Mungu, tunusuru na hili balaa..Ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matrilion ya pesa kutoka migodi yetu ya Buzwagi, Geita, Bulyankulu, Buhemba, Nyamongo, Tulawaka, Nzega na Tanzanite.

CCM wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa na wameruhusu wizi huo.

Ni Dr Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shilingi 350.000 achana na CCM ambayo imeshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokidhi mahitaji yao.

Ni Dr.Slaa anayeweza kusimamia mashirika ya umma kuleta tija achana na CCM wanaofyonza michango yetu kule, kwani haya mashirika yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? Mbona kwingine yameweza? Ni Dr.Slaa anayeweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu wala bila kulipiza visasi.

Ni Dr. Slaa ambaye amepanga kubadili katiba ili Rais afuate matakwa ya walio mwajiri ambao ni wananchi. Waulize CCM hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe pesa.

Hivi inaingia akilini kweli? Utawala wa sheria uko wapi? Naomba niwape heko ITV kwa kuturejeshe kwenye hotuba za mwalimu.

Katika hotuba yake moja alisema waziri mmoja kule uingereza aliandikwa kidogo tu gazetini juu ya kashfa, yule waziri alijiuzulu na waziri mkuu hata hakumjibu bali aliteua mtu mwingine.
CCM hawawezi hayo? Eti wanataka ushahidi.

Nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielelezo? Tunaiona rushwa kwa matokeo yake. Matengenezo ya barabara ya bilion 200, baada ya siku mbili imeharibika.

Kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? CCM hawawezi! eti wanataka vielelezo! Ni Dr Slaa anayeweza kufanya hayo.

Si tumeona mnazi mmoja alivyowataja mafisadi wote! hapo akiwa ni mbunge tu! Je akiwa rais si watakimbia nchi? Jamani nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupushe muone moto utakavyowaka..

Tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati. Jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekaa chini? we must be serious! Hivi kweli dunia ya leo watu wanavuliwa nguo njiani kwenda Mwanza, Shinyanaga, Tabora, Kigoma, Mbeya, Lindi na Mtwara kwa sababu ya usafiri wa malori? Nani asiye jua madaktari wetu wengi bingwa wapo botswana kwa sababu ya maisha duni Tanzania na hivi kwenda kutafuta maisha bora wakati hapa kwetu wananchi maskini wanakufa bila madawa? Nani asiyejua matatizo ya umeme, maji, makazi, maradhi, yanavyotutesa? Nani asiyejua wakulima wetu wasivyokuwa na masoko ya mazao yao? Nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga? nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuchukua kila kitu?? Jamani wafanyakazi, wakulima, na wanafunzi, kwa nini mnalala usingizi? Kwa nini mnapiga miayo ya njaa wakati maghala yetu yamejaa nafaka? Ni akili gani hii? Nchi yetu inazo raslimali za kututosha, lakini wanaozifaidi ni vibaka wachache.

Mtalala hadi lini?Ni Dr Slaa mzalendo wa kweli, na sio kwa ajili ya sifa, anaweza kutuvusha tulipo.
Nchi hii ni maskini na umaskini wenyewe ni wa kujitakia. Tanzania ni tajiri tuna kila kitu - mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila aina ya utajiri.

Lakini tuko maskini wa kutupwa! Naona huruma na umaskini wa kifikra wa watanzania.

Hivi kuna mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? Hivi kuna ambao hawajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja? Wamekosa nini hawa? Ni ajabu! pamoja na laki yao moja utakuta bado wanatumika kuwanyanyasa watetezi wao.

Hata maaskari amkeni hiyo laki moja yenu haina tija hadi mrubuniwe kuwanyanyasa wapinzani ambao kimsingi wanawatetea ninyi! Hivi maaskari mnayo macho ya kuona? Jamani tuache woga inawezekana! Mbona Kenya wameweza? Mbona malawi wameweza?Mbona zimbabwe wameweza? Mbona Ghana wameweza? Kufanya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumie.

Tumtume Dr Slaa atukurupushie wezi wote na atuwekee katiba sawa. Huo ndio msingi wa yote. Ni Dr. Slaa asiyeogopa kuwepo na mgombea binafsi. CCM hili hawaliwezi. Wamelipinga hadi mahakamani. Wanataka wao tu ndio waendelee kututawala na kutunyonya. Jamani 2010 hakuna kudanganyika! enough is enough.

Acheni kudanganyika. Wakati ndio huu. Watanzania msipoamua sasa, mtamlaumu nani tena? Nawatamani watu wa kule Mara -hakuna kura inaibiwa. Zote zinasimamiwa. Tukibadilika inawezekana, tena ni rahisi.

Peleke ujumbe huu kwa marafiki, ndugu, jamaa, babu na bibi yako kule kijiji ambako wanadhani bado Nyerere ndiye rais wa nchi hii. Peleka ujumbe huu haraka kwa simu kama ipo, au kwa njia ya posta, mradi tu wale jamaa waliochoka kuishi wasiikwapue barua wakidhani ni hela..

TWO NUNS

There were two nuns...

One of them was known as Sister Mathematical (SM),and the other one was known as Sister Logical (SL).

It is getting dark and they are still far away from the convent.

SM: Have you noticed that a man has been following us for the past thirty-eight and a half minutes? I wonder what he wants.

SL: It's logical. He wants to rape us.

SM: Oh, no! At this rate he will reach us in 15 minutes at the most! What can we do?SL: The only logical thing to do of course is to walk faster.

SM: It's not working.SL: Of course it's not working. The man did the only logical thing. He started to walk faster, too.

SM: So, what shall we do? At this rate he will reach us in one minute.

SL: The only logical thing we can do is split. You go that way and I'll go this way. He cannot follow us both.So the man decided to follow Sister Logical.

Sister Mathematical arrives at the convent and is worried about what has happened to Sister Logical.Then Sister Logical arrives.

SM: Sister Logical! Thank God you are here! Tell me what happened!

SL: The only logical thing happened. The man couldn't follow us both,so he followed meSM: Yes, yes! But what happened then?

SL: The only logical thing happened. I started to run as fast as I could and he started to run as fast as he could.

SM: And?SL: The only logical thing happened. He reached meSM: Oh, dear! What did you do?

SL: The only logical thing to do. I lifted my dress up.SM: Oh, Sister! What did the man do?SL: The only logical thing to do. He pulled down his pants.

SM: Oh, no! What happened then?

SL: Isn't it logical, Sister?A nun with her dress up can run faster than man with his pants down.And for those of you who thought it would be dirty,I'll pray for you!

HAVE A BLESSED DAY!

Monday, August 16, 2010

THAMANI YA JANA


Guess hii picha ni wapi hapo mhhh Bongo tuna maeneo mazuri saaaaaaana lakini wapiiiiiiiii!!!!

Thursday, April 22, 2010

SMILE FACES


Guees nini hapa kilikuwa kinaongelewa mpaka mshikaji kuamua kuweka mkono hivyo then mwingine mikono nyuma!!!

Mhh hii si mchezo kama kweli inachukua nafasi katika maofisi yetu!!!!

: All Personnel FROM:
Management RE: Updated Office Policies OFFICE


MEMORANDUM Dress Code: ....

You are advised to come to work dressed according to your salary. ....

If we see you wearing nice suits, shoes and carrying a laptop bag, with a new smart phone, Blackberry we will assume you are doing well financially and, therefore, do not need a raise. ....

If you dress poorly, you need to learn to manage your money better so that you may buy nicer clothes; and, therefore, you do not need a raise. ....

If you dress just right, you are right where you need to be; and, therefore, you do not need a raise. Sick Days: We will no longer accept a doctor's statement as proof of sickness.

If you are able to go to the doctor, you are able to come to work. Personal Days: Each employee will receive 104 personal days a year. They are called Saturdays and Sundays.

Bereavement Leave: This is no excuse for missing work. There is nothing you can do for dead friends, relatives or co-workers. Every effort should be made to have non-employees attend the funeral arrangements. In rare cases where employee involvement is necessary, the funeral should be scheduled in the late afternoon.

We will be glad to allow you to work through your lunch hour and subsequently leave one hour early.

Bathroom Breaks: Entirely too much time is being spent in the toilet. There is now a strict three-minute time limit in the stalls. At the end of three minutes, an alarm will sound, the toilet paper roll will retract, the stall door will open, and a picture will be taken. After your second offense, your picture will be posted on the company bulletin board under the "Chronic Offenders" category. Anyone caught smiling in the picture will be sectioned under the company's mental health policy.

Lunch Break: ....
Skinny people get 30 minutes for lunch, as they need to eat more, so that they can look healthy. ....

Normal size people get 15 minutes for lunch to get a balanced meal to maintain their average figure. ....

Chubby people get 5 minutes for lunch, because that's all the time needed to drink a Slim-Fast!. Thank you for your loyalty to our company. We are here to provide a positive employment experience.

Therefore, all questions, comments, concerns, complaints, frustrations, irritations, aggravations, insinuations, allegations, accusations, contemplations, consternation and input should be directed elsewhere.

The Management.

Friday, March 12, 2010

KUTOKA CHUMBA CHA HABARI - RADIO HURUMA FM


HABARI KWA UFUPI March 12, 2010 SAA 8 MCHANA.

WASAFIRI waliokuwa wakisafiri na basi lenye namba T833ACT mali ya kampuni ya Maburuk wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya basi hilo kufuka moshi mbele kwa dereva.
Tukio hilo lililotokea mji mdogo wa Dumila wilayani Kilosa baada ya basi hilo lililokuwa likitokea Dar es sama kuelekea mjini Tabora kuharibika na kuwalaza abilia katika mji huo.Wakisimulia tukio hilo Suzy Patrick na Januari Philopo miongoni mwa abilia hao ambao wamelazimika kuahilisha safari zao na kurudi Morogoro mjini kusubiri usafiri mwingine leo wamesema wameamua kuahilisha wakihofia kulazwa porini hatimae kuporwa mali zao na kupoteza maisha.

HATIMAE serikali imesema utendaji mbovu wa mazoea kwa watumishi wake ndani ya jamii unaifanya kushindwa kufikia malengo ya mipango na mikakati inayo jiwekea badala yake kuifanya kuendelea kutegemea misaada ya nje katika bajeti zake.
Akifungua mkutano wa wachumi wa takwimu na maafisa mipango toka serikali kuu na halamashauri za wilaya nchini Katibu mkuu wa serikali Philemon Luhanjo amesema mbali na rasilimali zilizopo endapo watendaji hawatabadilika na kufanya kazi kwa uhalisia nchi itaendelea kuwa masikini.

NA...Matokeo yanayoendelea kutolewa, kufuatia uchaguzi mkuu nchini Iraq, yanaonesha kuwa Waziri Mkuu Nuri al-Maliki anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa zamani, Iyad Alawi, anayewakilisha kundi la vyama visivyokuwa na msimamo wa kidini.
Kundi hilo limelalamika kura kufanyiwa hila ili kumsaidia Waziri Mkuu al-Maliki. Hata hivyo, upande wa waziri mkuu huyo umetupilia mbali shutuma hizo.

MWISHO WA HABARI KWA UFUPI KUTOKA HAPA RADIO HURUMA FM.

Prepared by Evelyn Balozi - News RADIO HURUMA FM

Wednesday, February 24, 2010

KUTOKA CHUMBA CHA HABARI

MOROGORO
v WAANDISHI wa habari tanzania wanakabiliwa na changamoto ya ukutokuwa wabunifu katika kuboresha kazi zao na kuimarisha dhana na maudhui ya sekta ya habari.

Hayo yamesemwa na wakufunzi akiwemo Mhadhili wa chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es salaam Gad Mkemwa na Meneja Program mstaafu wa shirika la utangazaji nchini TBC,Eda Sanga kwenye mafunzo ya uandishi wa habari za utangazaji mjini Morogoro.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakufunzi hao walisema kuwepo vyombo vingi vya habari si chanzo cha vyombo hivyo kukosa ubunifu badala yake inatakiwa kuwa kigezo cha kuongeza ubunifu ili kuboresha soko la wasikilizaji,watazamaji na wasomaji.

Akizungumzia mada zinazofundishwa ikiwemo ya mbinu mpya za uandishi,matamshi,adabu,tafisiri ya uandishi na jinsi ya kufupisha habari alisema kazi ya uandishi ni ngumu kwakuwa inahitaji kusoma muda wote ili kubadilika.

Eda alisema waandishi wa leo wanatakiwa kuwa wabunifu zaidi katika kazi zao kwakuwa wanavitendea kazi vingi na vyenye kurahisisha kazi zao ukilinganisha na uandishi wa awali.

Awali mweyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoni hapa MOROPC,Bonventure Mtalimbo aliwataka waandishi kubadilika kwa kutokukubali kutumika kama chombo badala yake kuzingatia maadili ya uandishi.

Alisema endapo wataendelea kuwatumikia watu kwa kujali kipato kidogo wanachopewa,wataendelea kufa msikini na fani kuendelea kudharaulika kwa jamii wanayoitumikia ikiitwa fani ya wenye njaa.

Kondoa
v Watu wawili kati ya 94 waliokuwa wamepatwa na ugonjwa wa kipindupindu wamekufa na wengine wametibiwa na kuruhusiwa katika maeneo ya Kikore na Huruwi wilayani Kondoa mkoani Dodoma.

Mganga mkuu wa wilaya ya Kondoa Dkt John Ruanda bila kuwataja majina yao marehemu amesema kuwa kwa sasa amebakia mgonjwa mmoja tu ambaye anaendelea vyema na matibabu hali inayoonyesha kuwa kipindupindu kitakuwa kimedhibitiwa ipasavyo.

Dkt Ruanda amesema kuwa hali ya milipuko ya magonjwa yatokanayo na uchafu ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ni matokeo ya watu wengi kudharau maagizo ya wataalamu wanapotoa elimu ya kupambana na magonjwa hayo.

Amesema kwa uchunguzi uliofanywa katika maeneo ya Bolisa ulipoanzia ugonjwa wa kipindupindu mwishoni mwa mwaka jana eneo ambalo pia ni maarufu sana kwa matunda ya aina mbalimbali,watu hawatumii vyoo ipasavyo.

Amebainisha kuwa hata kama familia inacho choo bado kuna wanafamilia hiyo wanadiriki kujisaidia katika maeneo karibu na miti ya matunda wanayovuna na kuyala bila kunawa na kuyaosha na hayohayo huyapeleka sokoni.

Amesisitiza kuwa katika maeneo ya Kikore kulikotokea vifo,kunalo tatizo la maji safi na salama lakini katika kipindi hiki cha mvua watu wanakunywa maji machafu na mengine ya madimbwini yasiyochemshwa.

Amewataka wananchi wilayani Kondoa kupitia kwa viongozi wao kama madiwani wahakikishe kuwa suala la afya si la mzaha bali ni suala nyeti linalohitaji umakini wa hali ya juu ili kunusuru afya.

Alisema dharau na kujipa moyo na matumaini yasiyoendana na hali halisi ya matokeo ya madhara ya kuzuka kwa ugonjwa,husababisha kilio kwani kama ni mtu kupoteza maisha huwa hakujaribiwi wala hakurudiwi akishakufa kafa tu.

WAKATI HUO HUO: Wananchi wa maeneo ambayo yamefyekwa mazao yaliyokuwa yamekatazwa kulimwa kwa kile kilichodaiwa na mamlaka ya mji mdogo wa Kondoa kuwa ni hifadhi ya wezi,vibaka na majambazi,wametishia kutopiga kura mwaka huu kutokana na kudharauliwa na kuelekezwa kwenye maangamizi ya njaa.

Wakizungumza kwa hasira kwa nyakati tofauti kwenye maeneo ya Kwapakacha,Kilimani,Fockland na Magodawn wananchi hao wameelezea kushangazwa kwao na hatua hiyo ya mamlaka ya mji mdogo wa Kondoa kuwafyekea mazao yao yaliyokomaa huku wakiwa hawana wanachotegemea.

Mmoja wa wazee wa siku nyingi ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka takriban 80 Khamisi Mwasi yeye kwa upande wake alinukuu kauli za hayati baba wa Taifa mwalimu Nyerere kuwa kauli ya kilimo cha kufa na kupona watu walihimizwa kulima hata pembezoni mwa nyumba zao au ofisi mwaka 1972 hata wabakize vinjia tu vya kupita ili kukabiliana na balaa njaa lakini leo serikali inakubali wananchi wanaharibiwa mazao yeo.

Mzee Mwasi alihoji kama mazao yanayorefuka yanaweza kuwa vichaka vya wahalifu,je vichaka vya asili ambavyo hadi sasa ni vingi tena kwenye barabara za mamlaka hiyohiyo ya mji mdogo wa Kondoa mbona havitolewi wakati vyenyewe ndimo huwa kunakutwa hata mali za wizi.


Walisema mazao ya chakula tena kwa ajili ya kujikimu tu yangeachwa yakomae kwa kuwa ni ya muda yatolewe na wao serikali wahakkikishe wanaondoa vichaka vya asili amabvyo ndiyo maficho hasa ya vibaka na wezi au hata ubakaji nyakati za usiku.

Mwenyekiti wa mtaa wa Kilimani Shaabani Boi yeye kwa upande wake alipohojiwa na mwanahabari hizi watawatulizaje wananchi hao alijigamba kuwa viongozi wametekeleza agizo lao na kwamba wanaopingana na agizo hilo ni wachache hivyo suala la kutopiga kura ni tishio dogo sana kwani wanaokubaliana na uamuzi huo ni wengi.

Mkurugenzi wa mamlaka ya mji mdogo wa Kondoa Anold Jidai yeye kwa upande wake alisisitiza kuwa agizo hilo ni maamuzi ya wajumbe wa baraza la mamlaka ya mji mdogo wa Kondoa wala si maamuzi ya mtu mmoja hivyo utekelezaji ni lazima.

Kwa upande wake serikali ya wilaya ya Kondoa inafanya jitihada za kupata chakula kutoka serikali kuu ili kuwanusuru wananchi katika baadhi ya maeneo ya wilaya hii ya Kondoa ambao wanakabiliwa na hali ya njaa.

Kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Kondoa Saidi Bwanamdogo,hata baada ya ugawaji wa chakula cha njaa awamu ya kwanza,bado uchunguzi unaonyesha kuwa kunayo baadhi ya maeneo ambayo yanakabiliwa na tatizo la njaa.

Wednesday, February 17, 2010

ADVERTISING:

New CISA Advertising PolicyCISA has offered advertising space free of charge since its inception in 2001. While all other services offered by CISA remain free of charge, rising costs of operations and the need to remain afloat have necessitated a change in our policy on advertising. We would like to notify all our readers that we have started charging a minimal fee for all the adverts that will be carried in our weekly bulletins. We propose to charge Kshs 1, equivalent to 1cent US$. For every email that receives the adverts carried in our bulletins, effective from February 1, 2010. Every paid advert will be sent out to our-readers twice a week, Tuesdays and Fridays. In addition, the advert will be placed and highlighted on our website for 4 consecutive weeks, after which, the advert will be placed in our electronic archives for easy retrieval when need arises.Currently, CISA’s readership is well over 8,000 and we will continue to build and expand the reach of Africa’s premier Church emailing portal. We are also in the process of re-designing and revamping our website to make it more interactive and more effective as a tool of communication. Ours is a specific audience, comprising consumers of religious information from across the continent. We reach members of all religions in the African continent and beyond. We can assure all who have been advertising with us and those who intend to do so, that they will get good value for their money as this is a targeted audience.Kindly remit your advertising fee through the following channels:Bank Account: Stanbic Bank Westlands Branch acc. Name: Consolata Fathers, acc. Number: 0140026006101 OR Citibank, Nairobi acc. Name: Consolata Missionaries acc. Number: 102216008. (Kindly present your deposit to CISA office to facilitate the running of your advert)Mpesa Account No. +254 724 256 853Zap Account No. +254 733 570 681
All payments will immediately be acknowledged in electronic form and official receipts drawn in the name of those advertising, individuals and institutions.Please note that only adverts that will have been paid for will be published. We thank you for your continued support of CISA and look forward to greater circulation as we expand our readership and continue networking the Church in Africa by email.Mike O’maera, Editor, CISA

READ THIS PLZ!!!!

WHAT HAPPENS IN HEAVEN I dreamt that I went to Heavenand an angel was showing me around.. We walked side-by-side inside large workroo filled with angels.... My angel guide stopped in front of the firstsection and said, 'This is the Receiving Section. Here, all petitions to God said in prayer are received. ' I looked around in this area, and it was terribly busy with so many angels sorting out petitionswritten on voluminous paper sheets and scrap from people all over the world. Then we moved on down a long corridor until we reached the second section. The angel then said to me, ' This is the Packaging and DeliverySection. Here, the graces and blessings the people asked for are processed and delivered to the living persons who asked for them. ' I noticed again how busy it was there. There were many angels working hard at that station, since so many blessings had been requested and were being packaged for delivery to Earth. Finally at the farthest end of the long corridor we stopped at the door of a very small station. To my great surprise, only one angel was seated there, idly doing nothing. 'This is the Acknowledgment Section,'my angel friend quietly admitted to me. He seemed embarrassed. 'How is it that there is no work going on here?' I asked. 'So sad,' the angel sighed. 'After people receive the blessings that they asked for, very few send back acknowledgements. ' 'How does one acknowledge God's blessings? ' I asked. 'Simple,' the angel answered. Just say, ' Thank you, Lord.. ' 'What blessings should they acknowledge? ' I asked. 'If you have food in the refrigerator, clothes on your back, a roof overhead and a place to sleep you are richer than 75% of this world. If you have money in the bank, in your wallet, and spare change in a dish, you are among the top 8% of the world 's wealthy.' 'And if you get this on your own computer, you are part of the 1% in the world who has that opportunity. 'If you woke up this morning with more health than illness .......You are more blessed than the many who will not even survive this day..' 'If you have never experienced the fear in battle, the loneliness of imprisonment, the agony of torture, or the pangs of starvation ..You are aheadof 700 million people in the world. ' 'If you can attend a place of worship without the fear ofharassment, arrest, torture or death you are envied by, and more blessedthan, three billion people in the world.. 'If your parents are still alive and still married ....you are veryrare. ' 'If you can hold your head up and smile, you are not the norm,you're unique to all those in doubt and despair. ' Ok, what now? How can I start? If you can read this message, you just received a double blessing inthat someone was thinking of you as very special and you are more blessed than over two billion people in the world who cannot read at all. Have a good day, count your blessings, and if you care to, pass thisalong to remind everyone else how blessed we all are.