Thursday, July 14, 2011

SIKU YA IDADI YA WATU DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Tanga meja Mstaafu Said Kelembo akisoma risala yake katika maadhimisho ya Siku ya Idadi ya watu Duniani katika viwanja vya Jitegemee wilayani Muheza mkoani Tanga.










No comments: