Saturday, July 2, 2011






Ardhi tunayo lakini ishu ni kuwawezesha hawa wakulima ili waweze kulima kilimo chenye tija na si longolongo tu kila mara na kutuletea slogan za kila aina sijui nini kwanza...wakati tulikuwa an ....nini uti wa mdono na k.itakuja sasa sijui nini pili....lets be sorious on this jamani ah mpaka inaboa sasa na hasa ukifika maeneo kama haya huku vijijini..




No comments: