Mkuu wa Mkoa wa Tanga meja Mstaafu Said Kelembo akisoma risala yake katika maadhimisho ya Siku ya Idadi ya watu Duniani katika viwanja vya Jitegemee wilayani Muheza mkoani Tanga.
Wednesday, July 13, 2011
Mlimbwende huyu mbali na Utangazaji lakini pia ni model wenyewe wanavyojiita nadhani unachek pozi hizo NO COMMENTS!!!!!!!