Saturday, July 2, 2011





hivi na wewe ulibatizwa kama hivi au paka leo na umri huo bado hujabatizwa tuuu!!!!!mhhh itakuwa noma u go for that plz.............

Furaha ya kuzaliwa upya baada ya kupokea Ekaristi ya kwanza katika la mt Antony wa Padua Jimbo la Tanga. Cathedral

Kikundi cha Kwaya ya Vijana (Luth Kana)mwenye tshirt nyekundu John Msamila ameshatangulia mbele ya Haki akiwa ameacha Album yake Sina Makosa aliyoirecord Huruma Recording...."Apumzike kwa Amani"



Pozi tofauti tu!!!!Baadhi ya watangazaji wa radio Huruma Fm Evelyn Balozi na Joyce Kimwemwe Mrs Shamalina aka Mama Brayan


Kinglenny msanii anayeimba nyimbo za kumsifu Mungu sasa ni mtanzania mwenye makazi yake Mombasa nchini Kenya...tayari ana Album yake KAA NAMI anataraji kuizindua hivi karibuni nchini Kenya..Hapa akiwa katika studio za Radio Huruma - Production room





EVENTS MBALIMBALI

Jesami Kwaya kutoka Sahare nao walikuwepo

Wakifuatilia kwa makini kwaya jukwaani kwaya zikifanya mambo katika Tamasha la Uimbaji.



Kwaya ya Baraka spiritual Voices group jijini Tanga


Jamaa ndiyo walioimba lile song la Albino Tunauawa chini ya Huruma Production



Mitaa fulani ya jiji la Mombasa mbele yangu mshikaji ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Radio - Baraka Fm

Azalia Lucas Mwibe mtangazaji wa kituo cha Radio Huruma Fm - Tanga











Siku zote vijana wakichengewa uwezo wanaweza kujiamini na kuhoji!!!!

View ya milima ya Lushoto huo Mbelei....................




Wanafunzi wakipata maelezo kuhusu kituo cha Radio hapa ndani ya studio za Radio Huruma




Africa Woman.....i hope she look good au sio????????