Askari wa Usalama Barabarani Mkoani Morogoro akimnyang'a funguo mshikaji baada ya kutaka kupita sehemu ambayo hairuhusiwi ni kwa ajiri ya watembea kwa miguu sasa yeye akajifanya kidume apite ikala kwake!!!!sheria jamani za usalama Barabarani tuziheshimu au tujifunze if possible.
Hapa Mshikaji alikuwa anajitambulisha kwa wageni miongoni walikuwa wasanii wa muziki wa Injili kutoka Dar na Moro hawapo pichani (hapa ilikuwa mitaa ya saa tano nne usiku)ambao tulijumuika nao siku kuu ya Pasaka!! na huyu ndiye Producer wa Huruma Recording Studio Endrew Jisso......mshiaji yuko safi nakubali kazi zinazotoka katika mkono wake.
Naweza sema huyu ni Mjasiriamali mwanamama hapa akiwa katika ofisi yake kama unavyoona bidhaa hizo magibi,mihogo,maboga kwa sisi watoto wa wakulima ndiyo yaliyotulea na kutusomesha so big five to Bi Mkubwa huko huko mji kasoro Bahari aka Morogoro.
Mshikaji akifanya mambo hapa watu warekebishe sio vipi ukipiga na maji siku imekwenda mambo ya muhogo maskani tulizoea kusema Chips Dume mhhh!long time anyway mitaa fulani hii ya morogoro usiniulize wapi.