Monday, July 11, 2011

ARRPA NATIONAL WORKSHOP



Muandaaji kipindi cha Wakulima Tutambuliwe Frank Odomali akisisitiza jambo yote ni katika kumtetea mkulima mdogo.....


Mkutano ukiendelea Hapa........na washiriki wakifuatilia kwa makini





Sr Dororosa Kilasa kutoka Radio Huruma Fm akichangia jambo




Jabir A Jabir kutoka SUA Morogoro akichangia jambo katika workshop ya ARRPA iliyofanyika Arusha
























Je unafahamu maana ya alama hizi?????hii ni one way to Moshi from ukiacha Same so hapa unaitafuta Mwanga......




Sunday, July 3, 2011

FIELD ACTIVITIES - PANGANI DISTRICT


















Sio mkutano wa kijiji bali hawa ni wakulima wa wilaya ya Pangani katika mahojiano na Reseacher Lilian Manyuka from FARMRADIO INTERNATIONAL






Baada ya kimya cha muda mrefu sasa am back on Air kama kawaida...

Gueesss where i am here??????


Kajisehemu tu ka Bahari ya Hindi kuleee kwa mbaliii ni Port teh teh Bandari ya Tanga.......





Saturday, July 2, 2011

Tatizo la maji ni kero hasa maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla ebu have look on this mhh haya maisha we acha tu then binadamu wote ni sawa How ikiwa wengine hawajui shida hizi!!!

Mhhh hapa ni nini sasa wpo darasani au kikao kisicho rasmi coz kila mmoja busy kivyake atii!!!!



kama anasema"Du hili chungwa utamu si mchezo ona pozi hili wewe!!!!!angalia pozi hizi tofauti tofauti chungwa kitu!! kitu chungwa we acha hi ndiyo tanga teh teh!!!