Thursday, April 2, 2009

NEWS ROOM


Miss Evelyn Balozi mtangazaji na mwandishi wa Habari wa Radio Huruma hapa akiwa news room akiandaa story !!!!!!!!yeye ana kipindi chake fulani ishu za UREMBO basically interest yake mambo ya models ndiyo yako saaaaaaaaaaaanaaaaaaa kichwani mwake.....archive ur dream binti ..

RADIO HURUMA FM PRODUCTION STUDIO


Here she is Joyce Kimwemwe akiwa studio no mbili za Radio Huruma Fm akiandaa kipindi chake hapa alinidokeza kuwa anaandaa kipindi cha "PRICE IN MARKET"Bei za bidhaa za mazao katika masoko ya jijini Tanga.

MY DOG


This my lovely Dog her name is Kujo!!!!!!!!!!!hapa ameweka pozi mitaa ya maskani yangu hukomji kasoro Bahari yaani Morogoro lakini Bahari yetu Mindu!

JOYCE KIMWEMWE ON AIR

Joyce Kimwemwe Mtangazaji wa Radio Huruma Fm hapa akiwa katika kipindi cha Dedication through Post Cards.......!!!!!!!!safi sana binti

HERE I AM

Karibuni sana wasomaji wa blog yangu hii ili tuweze kushare mambo mbalimbali katika sayari hii Dunia ya Kushangaza na watu wa kupendeza so kadri ya uwezo na taalum yangu basi tutapeana shule kile amabcho nakifahamu na wewe pia nakukaribisha katika kutoa mawazo yako kupitia blog yangu hii....by the way katika maisha nasisitiza Amani na Upendo katika maisha ya mwanadamu na kikubwa uwezo wa kufikiri katika jambo lolote lile bila kulitolea maaamuzi so always have time to think......lov uuuuuuuuuuu guy pwaaaaaaaaaaaaaa.!!!!!!one lovits me Kaka Odomali....or Ras Oddo

PWANI HOUSE

Studio za Radio HURUMA FM 103.6 MHz jijini Tanga hiyo floor ya chini HURUMA VIDEO PRODUCTION NA HURUMA RECORDING THNE JUU Flooy ya juu Radio yenyewe ilipo na matangazo yake huanzia hapo........its real tumewashika hasa juu ya neno la mungu coz our policy ni Uinjilishaji na Elimu kwa jamii so we have Educational Programmes......ni hayo tu!!!

U17


under 17 wakisakata soka katika viwanja fulani mkoa Morogoro hapa ndio vipaji vinapatikana!!!!!!!